
YANGA YAWADUWAZA AL HILAL KIMATAIFA, AZIZ ATUPIA
YANGA imewaduwaza Al Hilal kwenye mchezo wa kimataifa wa Ligi ya Mabingwa Afrika kwa bao la mapema zaidi wakifunga hesabu zao kwa kusepa na pointi tatu jumlajumla wakiwa ugenini. Bao la Aziz Ki akitumia pasi ya Dickson Job linavunja rekodi ya timu hiyo ambayo ilikuwa imecheza mechi nne bila kupoteza na inapoteza mchezo wa kwanza…