YANGA KAMILI KIMATAIFA KUIKABLI AL HILAL

ALI Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa watafanya kazi kubwa kupata matokeo dhidi ya Al Hilal kutokana na ugumu uliopo kwenye hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika. Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Sead Ramovic tayari imeshatia timu nchini Mauritania kwa ajili ya maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo huo unaotarajiwa kuchezwa Januri 12 2025….

Read More