WINGA DIALLO AONGEZA MKATABA MPYA MAN UTD HADI 2030

Winga Amad Diallo (22) raia wa Ivory Coast amesaini nyongeza ya mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia Manchester United hadi Juni 2030. “Nimekuwa na nyakati za ajabu na Man United tayari, lakini kuna mengi zaidi yanayokuja. Nina malengo makubwa katika mchezo huu.” ——imesema Amad ‘Ivorian Messi’ kama wanavyomuita baada ya kusaini mkataba huo.

Read More

SIMBA YAFUNGUKIA UGUMU WA BRAVOS

SIMBA inayonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids imeweka wazi kuwa inakwenda kukutana na mpinzani mgumu ndani ya dakika 90 kutokana na mwendo wake wa kupata matokeo mazuri kwenye mechi za nyumbani ndani ya Kombe la Shirikisho Afrika. Wakiwa na kumbukumbu ya kupata matokeo chanya kwenye mchezo waliocheza nao Bravos, Uwanja wa Mkapa Novemba 24 2024…

Read More

YANGA KAMILI KUWAVAA AL HILAL KIMATAIFA

KOCHA Msaidizi wa Yanga, Abdihamid Moalin amesema kuwa wanatambua mchezo wao dhidi ya Al Hilal utakuwa ni mgumu lakini wapo tayari kwa ajili ya kusaka pointi tatu muhimu kutokana na umuhimu wa mchezo huo kwa Yanga. Ikiwa Yanga itapata pointi tatu kwenye mchezo huo itabakiwa na mchezo mmoja Uwanja wa Mkapa ambao huo utaamua hatima…

Read More