MASTAA HAWA OUT YANGA, KUIKOSA AL HILAL KIMATAIFA
WAKIWA kwenye maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wa kimataifa dhidi ya Al Hilal unaotarajiwa kuchezwa Jumapili ya Januari 12 2025 nchini Mauritania Yanga kutoka Tanzania itawakosa wachezaji watatu kwenye uwanja kwa kuwa hawapo kwenye mpango wa benchi la ufundi. Ni Uwanja wa de la Capitale watashuka Yanga chini ya Kocha Mkuu, Sead Ramovic kusaka pointi…