
MWAMBA FEI TOTO NGOMA NZITO KUSEPA AZAM FC
NGOMA ni nzito kwa nyota wa Azam FC, Feisal Salum kusepa hapo kutokana na dau ambalo linahitajika kuwa zaidi ya milioni 500 kuvunja mkataba wake. Inatajwa kuwa matajiri kutoka Kariakoo ambao ni Simba na Yanga wapo kwenye rada za kuinasa saini ya kiungo huyo ambaye ni namba moja kwa pasi za mwisho Bongo. Ametoa pasi…