GAMONDI NA MTEGO WAKE KWA MZIZIMA DABI
MIGUEL Gamondi alianza na kiungo Mudathir Yahya kwenye benchi wakati ubao wa Uwanja wa Azam Complex ukisoma Yanga 1-0 Geita Gold. Mchezo huo ulichezwa Uwanja Azam Complex kulikuwa na mabadiliko katika kikosi cha kwanza ikiwa ni maalumu kwa ajili ya kuwapa muda wachezaji wengine ambao hawakupata nafasi kucheza mechi zilizopita. Mtego kwa Azam FC ambao…