
HALI NI NGUMU SIMBA KUPISHANA NA TUZO
MSIMU wa 2023/24 ngoma ni nzito kwa Simba kutokana na mwendo wanaokwenda nao upande wa rekodi za mchezaji mmojammoja pamoja na matokeo ya timu ndani ya tatu bora. Kuna hatihati wakapishana na tuzo walizokomba msimu uliopita wa 2022/23