
FAINALI YA MUUNGANO KUPIGWA NA HAWA HAPA
KOMBE la Muungano 2024 limeanza kuunguruma Visiwani Zanzibar ambapo limeanzia kwenye hatua ya nusu fainali. Nusu fainali ya kwanza ilikuwa ni Aprili 24 2024 ambapo ilikuwa ni Uwanja wa New Amaan Complex. Katika mchezo huo baada ya dakika 90 ubao ulisoma KVZ 0-2 Simba hivyo Simba inakuwa timu ya kwanza kutinga hatua ya fainali. Mchezo…