>

BUNDESLIGA, LA LIGA, LIGUE 1 KUKUPA MKWANJA LEO

Ligi kuu ya soka nchini Hispania, Ujerumani, na Ufaransa leo zitaanza kupigwa rasmi baada ya kupisha michezo ya kimataifa  wiki kadhaa zilizopita kupitia Meridianbet unaweza kushinda mamilioni kupitia michezo hii.   Klabu ya Borussia Dortmund, Real Betis, pamoja na klabu ya Lille watakua na vibarua leo katika michezo ya ligi zao, Ambapo michezo yote imepewa…

Read More

MWANASHERIA WA YANGA AFUNGUKA SAKATA LA KAGOMA ATOA TAMKO

MKURUGENZI wa Sheria wa Yanga, Simon Patrick leo Septemba 12, 2024 amethibitisha kuwa timu yao ilikamilisha mchakato wa kumsajili Yusuph Kagoma mwezi Machi 2024 kutoka klabu ya Fountain Gate. Akizungumza wanahabari mapema leo, Simon amesema mazungumzo kati ya Yanga na Fountain Gate kwa ajili ya usajili wa Kagoma yalianza Machi 3, 2024 “Yanga ilipewa masharti…

Read More

IVERPOOL YAANZA LIGI KWA NAMNA YA TOFAUTI

Ligi mbalimbali barani ulaya zimerejea kwa kishindo na klabu ambayo imeonekana kuanza msimu kibabe tofauti na ilivyotarajiwa ni klabu ya Liverpool, Ambapo klabu hiyo mpaka sasa imefanikiwa kushinda michezo yake mitatu mpaka sasa.    Liverpool haikudhaniwa kuanza msimu vizuri kwani waliondokewa na kocha wa Jurgen Klopp wengi wakiamini inaweza kuwachukua muda kujipata, Lakini imekua tofauti…

Read More

SIMBA YAKIRI WAPINZANI WAO KIMATAIFA SIO WANYONGE

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa wapinzani wao kwenye Kombe la Shirikisho Afrika sio wanyonge hivyo watawakabili kwa tahadhari kupata matokeo chanya kwenye mchezo unaotarajiwa kuchezwa Septemba 15 2024 nchini Libya. Tayari msafara wa Simba umeanza safari kuwafuata wapinzani wao ambapo Septemba 11 mapema kikosi kilikwea pipa kutoka Bongo na kuweka kambi Uturuki na mapema…

Read More

WACHEZAJI STARS WAPEWA PONGEZI USHINDI AFCON

BENCHI la ufundi la timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars limeweka wazi kuwa pongezi kubwa kwa ushindi wa mchezo wa kuwania kufuzu AFCON 2025 mbele ya Guinea wanastahili wachezaji kwa kuwa walicheza kwa kujituma na kufuata malekezo. Ni Septemba 10 2024 Stars ikiwa ugenini ilikomba pointi tatu mazima mbele ya Guinea wakipindua meza kibabe…

Read More

TAIFA STARS KUIKABILI GUINEA

TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars leo Septemba 10inakibarua kingine cha kusaka pointi tatu muhimu kwenye mchezo wa kuwania kufuzu AFCON 2025. Mchezo wa leo itakuwa dhidi ya Guinea huu ni mchezo muhimu utakaoiweka Stars kwenye nafasi nzuri ya kusaka tiketi ya kufuzu kushiriki michuano ya AFCON 2025 baada ya mchezo uliopita wakiwa Uwanja…

Read More

TISHA LEO KWA KUNYAKUA KITITA KUPITIA MICHEZO YA UEFA NATIONS LEAGUE

Maokoto yanatoka tena leo kupitia kampuni bingwa ya michezo ya kubashiri ya Meridianbet kupitia michezo ya Uefa Nations League ambayo itachezwa leo katika viwanja mbalimbali barani ulaya. Michuano ya Uefa Nations League ndio inakupa fursa ya wewe kupiga maokoto ya kutosha katikati ya wiki, Kwani inapigwa michezo mikali ya timu za taifa michezo ambayo inasindikizwa…

Read More

MASTAA SIMBA NDANI YA MAISHA MAPYA YANGA

MAISHA ya mpira yana kupanda na kushuka ambapo kila mchezaji uwanjani amekuwa na kazi kubwa kuonyesha uwezo wake ndani ya dakika 90 na wapo ambao wamekuwa wakiongezewadili jipya na wengine kukutana na Thank You. Msimu wa 2023/24 ipo wazi kwamba Yanga ni mabingwa wa ligi chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi na sasa wanakibaua kingine…

Read More