ORODHA YA WACHEZAJI SIMBA AMBAO HAWAPO FITI
WAKIWA kwenye mbio za kujinasua kutoka nafasi ya tatu waliyodumu kwa muda mrefu msimu wa 2023/24 orodha ya wachezaji ambao hawapo fiti imeongezeka. Aprili 30 kwenye funga Aprili waliambulia sare ugenini huku wakikosa huduma za nyota wao ambao wapo kwenye program maalumu kurejea kwenye ubora wao. Wakati ubao ukisoma Namungo 2-2 Simba wakigawana pointi mojamoja…