
WAKALI WA KUCHEKA NA NYAVU BONGO HAWA HAPA
KATIKA chati ya wakali wa kucheka na nyavu ndani ya Ligi Kuu Bara namba moja katika NBC Premier League ni Seleman Mwalimu kutoka Fountain Gate iliyofungua pazia la ligi kwa kucheza dhidi ya Simba mchezo uliochezwa Uwanja wa KMC, Complex. Mwalimu ambaye ni mzawa katupia mabao 6 kibindoni anafuatiwa na Jean Ahoua wa Simba mwenye…