>

JUVENTUS YAMTEUA THIAGO MOTTA KUWA KOCHA MPYA

Klabu ya Juventus ya Serie A imethibitisha kumteua mkufunzi Thiago Motta kuwa kocha mkuu klabuni hapo kwa mkataba wa miaka mitatu mpaka Juni 2027. “Ninayo furaha kuanza ukurasa huu mpya katika klabu bora kama Juventus, asante kwa imani yenu na ninaweza kuhakikisha nitajitolea kuwafanya mashabiki wa Juventus wajivunie”. — Mota Mota (41) raia wa Italia…

Read More

MANGUNGU: MO DEWJI NI MWANASIMBA JASIRI

Mwenyekiti wa Simba Murtaza Mangungu amewajibu Wanasimba wanaodhani kuwa hana maelewano na Mwekezaji Mo Dewji kuwa “Nani kawaambia? Anasema hana chuki na Mo Dewji na kuongeza kuwa anayemsimanga Mo siyo mwana Simba ni kiumbe kingine, “Mimi simchukulii Mo kama muwekezaji pekee, namchukulia kama mtu jasiri ambaye anatumia nguvu na pesa zake kuisaidia Simba, hata hiyo…

Read More

KOCHA WA VIUNGO AFUNGUKA KUTIMKA YANGA

ALIYEKUWA mtaalamu wa Viungo Yanga, Youssef Ammar amefunguka kuondoka katika klabu hiyo, hivyo hatakuwa sehemu ya Benchi la Ufundi la timu hiyo. Youssef alisema kuwa anaondoka Yanga, kutokana na shinikizo la Kocha Mkuu wa timu hiyo, Miguel Gamondi, ambaye ameshinikiza kwenda kwa uongozi na kuwaambia anapaswa kuachwa. Aliongeza kuwa kwa sasa hawezi kuweka wazi kila…

Read More

RODRYGO ARIPOTIWA KUWAVUTIA MANCHESTER CITY

Rodrygo anaripotiwa kuwavutia Manchester City baada ya kucheza vizuri na kuwa sehemu muhimu katika mafanikio ya Real Madrid msimu huu, akifunga mabao 17 katika michuano yote aliyocheza msimu wa 2023/24 na kutoa pasi tisa za mabao. City wanathamini uwepo wa Rodrygo katika klabu Madrid, baada ya kumuona kuwa ni mtu anayehitajika kwenye timu lakini Ujio…

Read More

ERIK TEN HAG KUSALIA KUWA MENEJA WA MANCHESTER UNITED

Erik Ten Hag atasalia kuwa meneja wa Manchester United kufuatia ukaguzi wa baada ya msimu mpya uliofanywa na bodi ya klabu hiyo. Inafahamika sasa wanazungumza na Ten Hag kuhusu kuongeza mkataba wake, ambao unakaribia kuingia msimu wake wa mwisho. United walianzisha ukaguzi wao mara baada ya fainali ya Kombe la FA. Ten Hag aliingia kwenye…

Read More

USHINDI WA TAIFA STARS, WAZIR AFICHUA SIRI

WAZIR Junior mfungaji wa bao pekee la ushindi kwenye mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Zambia ameweka wazi kuwa ushirikiano kutoka kwa wachezaji wengine uliwapa nguvu ya ushindi katika mchezo huo. Tanzania ipo kundi E ambapo vinara ni Morocco wenye pointi 6 baada ya kucheza mechi mbili huku Tanzania ikiwa nafasi ya…

Read More

MO DEWJI AMTEUA TENA TRY AGAIN SIMBA

Mwekezaji wa Simba SC Mohammed Dewji (MO) ametoa taarifa rasmi kuhusiana na kinachoendelea Simba SC baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi Salim Abdallah Muhene Try Again kutangaza kujiuzulu pamoja na Wajumbe wa upande wa Muwekezaji. MO Dewji amethibitisha kuwa anarejea tena kuwa Mwenyekiti wa Bodi wakati Try Again anarudi katika Bodi kama Mjumbe wa upande…

Read More

ALICHOKISEMA SALEH ALLY BAADA YA MO DEWJI KUREJEA SIMBA, INAREJEA KWENYE UHAI…

Ukimsikiliza Salim Try Again wakati akitangaza kuachia NGAZI na baadaye ukamsikiliza Mohammed Dewji ambaye anatarajiwa kurejea kwenye kiti cha Mwenyekiti wa Bodi alichokishika kwa mafanikio makubwa utagundua kuwa SIMBA INAREJEA KWENYE UHAI… Viongozi hao wawili wamekiri kuwa walikutana na kuzungumza na kauli aliyeachia NGAZI na anayetarajia kurejea WAMELENGA KUIREJESHA Simba iliyoirudisha heshima ya Tanzania katika…

Read More

MO ATOA TAMKO KUHUSU SIMBA, AKIRI – ”WACHEZAJI KIWANGO KIDOGO, TUACHE MIGOGORO” – VIDEO

Mwekezaji wa klabu ya Simba, Mohammed Dewji Juni 11, 2024 ametangaza kukubali kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba aridhia ombi la aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi hiyo, Salim Abdallah ‘Try again’ ambaye alitangaza kujiuzulu. “Klabu yetu ipo kwenye kufanya usajili, Pre session, Simba Day, Ngao ya Jamii, niwaombe sana wana Simba wenzangu…

Read More