
ANAKUTANA NA ADHABU SIMBA MKANDAJI KIBU D
MWAMBA Kibu Dennis kiungo mshambuliaji wa Simba atakutana na adhabu kutoka kwa Simba kutokana na kitendo chake cha kuchelewa kujiunga na timu hiyo kwenye kambi kujiandaa na msimu wa 2024/25 ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa.