JUMAMOSI YA MSHINDO IMEFIKA, KUWA MILIONEA NA MECHI LEO

Je unajua kuwa unaweza kuwa milionea leo hii ukibashiri na mabingwa wa ubashiri Tanzania Meridianbet?. Basi kama bado hujui habari ndio hiyo hapa ndio sehemu pekee ya wewe kutimiza ndoto zako. Ligi ya magoli mengi, BUNDESLIGA kule Ujerumani itarindima leo ambapo FC Augsburg atamleta kwake Bayer Leverkusen ya Alonso ambao ndio ambao ndio mabingwa watetezi…

Read More

TABORA UNITED ‘YAWAKANDA’ AZAM NYUMBANI BAO 2-1

Tabora United haijapoteza mchezo wowote kwenye mechi sita zilizopita kwenye Ligi Kuu bara wakishinda 5 na kutoka sare mchezo mmoja licha ya kukutana na wababe kama Yanga Sc, Azam Fc na Singida Black Stars mpaka sasa. Kwa ushindi wa 2-1 dhidi ya Azam Fc, Tabora United imefikisha pointi 24 baada ya mechi 14 na wanasalia…

Read More

KUWA MILIONEA NA MECHI ZA LIGI LEO

Wababe wa ubashiri Tanzania Meridianbet wanakwambia hivi, Ijumaa ni siku yako ya bahati kwani unaweza ukapiga pesa zaidi ya Milioni kwa dau lako dogo tuu la utakaloweka. Unangoja nini sasa?. Jiunge na mabingwa sasa. Ufaransa leo hii LIGUE 1 nayo kuna mtanange mmoja wa Toulouse FC dhidi ya Saint- Etienne ambao wapo nafasi ya 16…

Read More

MKALI WA PASI ZA MWISHO BONGO

KIUNGO wa Azam FC, Feisal Salum ni namba moja katika wakali wa kutengeneza pasi za mwisho ndani ya NBC Premier League msimu wa 2024/25. Ikumbukwe kwamba msimu wa 2023/34 nyota huyo alitoa jumla ya pasi saba alikuwa ni namba mbili na namba moja alikuwa Aziz Ki wa Yanga aliyetoa pasi 8. Ki kwa sasa ni…

Read More

JESHI LA YANGA NDANI YA DR CONGO HILI HAPA

KIKOSI cha Yanga kimewasili salama nchini DR Congo baada ya kukwea pipa Desemba 12 2024 ikiwa ni maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya TP Mazembe unaotarajiwa kuchezwa Jumamosi. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Desemba 14 2024 utakuwa ni watatu kwa Yanga kushuka uwanjani katika anga la kimataifa. Kwenye orodha hiyo…

Read More

ALHAMISI NI KWAAJILI YA EUROPA LEAGUE

Je unajua kuwa leo hii ni zamu yako na wewe kuchukua maokoto na wakali wa Meridianbet?. Ingia sasa kwenye akaunti yako na usuke jamvi lako la ushindi kwani odds kubwa zipo hapa. Pesa ipo hapa kwenye mechi ya FC Porto dhidi ya Midtjyland ya kule Denmark ambao walipotez amechi yao iliyopita huku mwenyeji yeye akitoa…

Read More

MWENDA ACHEKELEA KUWA NDANI YA YANGA

BEKI wa kupanda na kushuka Israel Mwenda ameanza mazoezi ikiwa ni maandalizi kwa mechi za ushindani msimu wa 2024/25 akiwa na uzi wa Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Sead Ramovic. Mwenda ambaye ni beki ameibuka hapo akitokea kikosi cha Singida Black Stars alitambulishwa rasmi Desemba 11 2024 kuwa ni njano na kijani. Amekutana na baadhi…

Read More

PIGA MAOKOTO NA UEFA CHAMPIONS LEAGUE

Uefa Champions League itaendelea leo Jumatano na viwanja mbalimbali barani ulaya vitawaka moto kutoka na michezo mikali itakayopigwa, Huku wewe ukiwa na nafasi ya kunyakua kitita cha kutosha. Michezo ambayo itapigwa leo kwenye ligi ya mabingwa ulaya ni michezo mikali ambayo itakutanisha miamba ya soka barani ulaya ambayo inakwenda kucheza michezo yao ya raundi ya…

Read More

MWENDA NI KIJANI NA NJANO

ISRAEL Mwenda beki wa kupanda na kushuka sasa ni kijani na njano baada ya kutambulishwa rasmi ndani ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Sead Ramovic. Nyota huyo alitambulishwa na Singida Black Stars msimu wa 2024/25 ambapo inatajwa kuwa dau lake ilikuwa ni milioni 15o lilimvuta akasaini mkataba ndani ya timu hiyo inayotumia Uwanja…

Read More

SIMBA: KUPOTEZA KIMATAIFA KUSITUTOE KWENYE RELI

AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amesema kuwa kupoteza mchezo wao uliopita kimataifa dhidi ya Constantine kusiwatoe kwenye reli kwa kuwa malengo ni kupata ushindi katika mechi zijazo na hesabu kubwa ni kutinga hatua ya robo fainali Kombe la Shirikisho Afrika. Ipo wazi kwamba wakiwa ugenini Simba walipata bao la kuongoza…

Read More