
MISS WORLD AFRICA 2024 ATEULIWA KUWA WAZIRI WA VIJANA BOTSWANA
Mlimbwende aliyenyakua taji nchini Botswana mwaka wa 2022, ambaye pia ni Miss World Africa 2024, Lesego Chombo ameteuliwa kuwa Waziri wa Vijana na Masuala ya Wanawake wa nchi hiyo. Chombo, mwenye umri wa miaka 26, aliteuliwa na Rais Duma Boko. Mrembo huyo ni mmoja wa Mawaziri sita waliozinduliwa chini ya Serikali mpya ya Rais Boko,…