FAIDA AMBAZO WATAZIPATA YANGA KWA OKRA MAGIC
OKRA Magic ni ingizo jipya ndani ya Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu Miguel Gamondi ambapo kama atakuwa kwenye ubora wake kwenye kutimiza majukumu na akipewa nafasi atakuwa na kazi kwenye kutimiza majukumu yake ambapo anakwenda kuongeza ukubwa wa kikosi cha Yanga kitaifa na kimataifa.