INGIZO JIPYA SIMBA LIMEANZA NA BALAA
UKIWA ni mchezo wake wa kwanza akiwa na kikosi cha Simba, Saleh Karabaka alifungua ukurasa wake wa mabao katika Mapinduzi Cup 2024. Ingizo hilo jipya dirisha dogo alikuwa anakipiga JKU hivyo alianza kazi mbele ya mabosi wake wa zamani akisaini dili la miaka mitatu. Baada ya dakika 90 ubao ulisoma JKU 1-3 Simba ambapo ni…