
MWAMUZI KUTOKA SUDAN KUSINI KUCHEZESHA MCHEZO KATI YA STARS NA ETHIOPIA
Mwamuzi kutoka nchini Sudan Kusini, Ring Nyier Akech Malong ndiye ambaye ameteuliwa na Shirikisho la soka Afrika (CAF) kuchezesha mchezo kati ya Tanzania Taifa Stars na Ethiopia mechi ya kusaka tiketi ya kufuzu AFCON 2025. Ring Nyier Akech Malong atakuwa Mwamuzi wa kati katika mchezo huo ambao utapigwa Novemba 16 nchini Jamhuri ya Kideokrasia ya…