AGGY SIMBA: YANGA HAWATAKI CHAMA AONDOKE SIMBA

AGGY Simba ameweka wazi kuwa miongoni mwa wanaopenda kuona Clatous Chama anabaki ndani ya kikosi cha Simba ni watani zao wa jadi jambo ambalo linajulikana sababu. Aggy Simba ameweka wazi kuwa wanawachezaji wazuri ambao wanapewa nafasi na usajili ambao unafanyika kwa sasa hivyo watafanya usajili mzuri ambao utakuwa imara

Read More

OKRA KUANZA KAZI RASMI YANGA

BAADA ya kukamilisha usajili wa winga Mghana, Augustine Okra leo anatarajiwa kuwa sehemu ya kikosi kitakachoanza kucheza kwenye mchezo wa Kombe la Mapinduzi 2024. Okra alizua gumzo kwenye mchezo wa funga mwaka 2023 kwa Yanga dhidi ya Jamhuri ambapo baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Amaan ulisoma Jamhuri 0-5 Yanga. Leo Yanga inatarajiwa…

Read More

SIMBA YATAMBULISHA NYOTA WAKE WA KWANZA

RASMI Klabu ya Simba imekamilisha usajili wa kiungo, Saleh Karabaka kutoka JKU ya Visiwani Zanzibar kwa mkataba wa miaka mitatu. Karabaka mwenye umri wa miaka 23 anakuwa mchezaji wa kwanza kusajiliwa na Simba SC katika dirisha hili dogo la usajili. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na waajiri wake hao wapya, Karabaka tayari amejiunga na kikosi…

Read More

HERI YA MWAKA MPYA 2024

JANUARI Mosi,2024 Neema ya Mungu imetuzunguka na kutufanya tuwe hapa kwa wakati mwingine katika hili tunapaswa kusema asante. Hakika ni wakati mwingine mzuri kwa ajili ya kuanza kupambania malengo ambayo yalianza kuandikwa tangu wakati ule unapambania yale unayohitaji. Kwenye ulimwengu wa mpira kila timu imefunga kwa mpango wake katika mechi za funga mwaka na wengine wana kazi…

Read More

CHASAMBI KUIBUKIA SIMBA

INAELEZWA kuwa mabosi wa Simba wapo kwenye hesabu za kukamilisha usajili wa nyota Ladack Chasambi ambaye yupo ndani ya Mtibwa Sugar. Nyota amekuwa kwenye rada za Simba na Yanga ambapo kila mmoja amekuwa akimvutia kasi kunasa saini yake. Hata hivyo Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba aliweka wazi kuwa usajili wao…

Read More