
UFAHAMU MCHEZO WA ROULETTE KWA UNDANI IWE RAHISI KUSHINDA
Dkt Jerecki ndiye muanzilishi wa mchezo wa Roulette ambapo yeye binafsi alikuwa akifika kwenye jumba la kasino majokeri wenzake wanamkimbia kwa kuogopa kupunwa pesa zao. Jamaa alifariki akiwa na miaka 80 na kwa namna ya kipekee mchango wake kwenye ulimwengu wa michezo ya Kamari anakumbukwa. American Roulette sawa na michezo mingine ya Roulette unapatikana Meridianbet…