HAJI MANARA ATIBUA, AONYWA NA JESHI LA MAGEREZA

JESHI la Magereza Tanzania limemuonya Mwanachama wa klabu ya Yanga Sc, Haji Sunday Manara kwa kauli isiyo ya kiungwana yenye viashiria vya kutweza utu na yenye mwelekeo wa kulifedhehesha Jeshi hilo aliyotoa baada ya mchezo kati ya Yanga Sc dhidi ya Wajelajela, Tanzania Prisons katika dimba la KMC Complex. Taarifa ya leo Desemba 23 iliyotolewa…

Read More

ALIYEKUWA MTENDAJI MKUU WA SIMBA AFARIKI

Aliyekuwa Mtendaji mkuu wa klabu ya Simba, Dkt. Anorld Kashembe amefariki Dunia leo Desemba 23, 2024 huku klabu hiyo ikielezea kusikitishwa kumpoteza CEO wao huyo wa zamani ambaye alikuwa na mchango mkubwa kwa klabu hiyo. “Uongozi wa klabu ya Simba umepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya msiba uliotokea leo 23.12.2024 wa aliyekuwa Mtendaji wa klabu…

Read More

SIMBA USAJILI WAO TAMBO ZATAWALA

AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano ameweka wazi kuwa usajili wao mpya wa Ellie Mpanzu umejibu kwa haraka licha ya kuwa na mchezo mmoja wa ushindani. Nyota huyo mchezo wake wa kwanza ilikuwa dhidi ya Kagera Sugar ambapo kwenye mchezo huo alikomba daika 57 alikuwa na uwezo wa kupiga mashuti ya mbali…

Read More

CARY PURRY SLOTI KUBWA YA USHINDI MKUBWA

Huenda umewahi kuona au kusikia stori nyingi kuhusu paka, Meridianbet kasino ya mtandaoni inakuletea mkutano na paka wa kuvutia wanaowapa wachezaji zawadi za kasino. Kazi yako ni kuwakusanya tu. Cat Purry ni sloti ya kasino mtandaoni inayotolewa na Games Global. Katika mchezo huu, utapata bonasi kadhaa. Kuna Bonasi ya Kishindo Kikubwa ambayo inakupa nafasi ya…

Read More