AHMED ALLY AMCHAMBUA ATEBA – ”WENGINE HADI WANAOMBEWA – KUFUNGA SIO JAMBO DOGO”…

Afisa habari wa klabu ya Simba SC, Ahmed Ally, amefunguka na kueleza kuwa ni furaha kumuona mshambuliaji wao Lionel Ateba akifunga.

Ameeleza hayo baada ya ushindi dhidi ya Ken Gold FC katika mchezo uliochezwa kwenye dimba la KMC Complex, Dar es salaam.