AL HILAL OMDURMAN YA FLORENT IBENGE YAENDELEA KUWA TISHIO KWENYE KUNDI A
Al Hilal Omdurman ya Florent Ibenge imeendelea kuwa tishio kwenye Kundi A la Ligi ya Mabingwa Afrika kufuatia ushindi wa 2-1 dhidi ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo katika dimba la Cheikha Ould Boidiya, Mauritania. FT: Al Hilal πΈπ© 2-1 π¨π© TP Mazembe β½ 21β Abdelrahman β½ 90+2β Girumugisha β½ 64β Tshikomb…