
REAL MADRID KUKIWASHA LEO DHIDI YA ATALANTA, PIGA PESA NA MECHI ZA UEFA
Leo hii ushindi ni nje nje kabisa ukibashiri mechi zako zote na mabingwa wa ubashiri Tanzania, Meridianbet kwani mechi za leo zote zina ODD KUBWA lakini pia wamekuwekea na machaguo kibao kabisa. Kiwanja kitawaka pale Ujerumani ambapo RB Leipzig ambaye mpaka sasa hajashinda mechi yoyote, atamkaribisha kwake Aston Villa ambaye ana pointi 10 hadi sasa…