CAMARA AJENGA UTAWALA WAKE SIMBA, MECHI 11
KWENYE eneo la makipa ndani ya kikosi cha Simba, kipa namba moja Mousa Camara amejenga utawala wake akiwa ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Fadlu Davids. Wakati Simba ikicheza mchezo wa 11 dhidi ya Pamba Jiji, Novemba 22 2024 Uwanja wa Kirumba, Mwanza alianza kikosi cha kwanza. Unakuwa ni mchezo wa 11 wa NBC…