EUROPA LEAGUE KUKUPATIA MKWANJA LEO

Leo hii ni afe kipa afe beki lazima uondoke na ushindi ndani ya Meridianbet ambapo viwanja mbalimbali vitaenda kuwaka moto timu zikisaka kwa hali na mali ushindi. Beti sasa ujishindie pesa za maana. Manchester United watakuwa Old Trafford kucheza dhidi ya Bodoe/Glimt kutoka kule Norway ambapo timu hizi zimetofautina  pointi moja pekee. United ipo chini…

Read More

MR BLUE NI KABISA MKALI

UKIZUNGUMZIA Bongo Fleva kuna majina mengi yanapita yamefanya mapinduzi makubwa ikiwa ni pamoja na Sugu ambaye huyu ni muziki wa Hip Hop kiujumla alileta mageuzi makubwa ukiigusa ile ngoma ya Miaka 18 anasema ilikuwa ni stori ya kweli akaituma kwa jamii kupitia nyimbo. Legend Dully Sykes huyu alileta mtindo wa Mwanasesere kisha Bongo Fleva ikaanza…

Read More

TABORA UNITED WAIVUTIA KASI KMC

NYUKI wa Tabora, Tabora United wapo ndani ya jiji la Dar kwa ajili ya maandalizi ya mechi inayofuata ya Ligi Kuu Bara dhidi ya wakusanya mapato wa Kinondoni, KMC. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa KMC Complex saa 10:00 jioni ambapo wababe hao wawili watakuwa kazini kusaka pointi tatu muhimu. Ikumbukwe kwamba mchezo uliopita kwa…

Read More

UEFA: LIVERPOOL YAWAPIGA REAL MADRIDI 2-0

Liverpool imeibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Mabingwa watetezi, Real Madrid kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya huku Aston Villa wakitoshana nguvu na Juventus kwa sare tasa katika dimba la Villa Park. Liverpool 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 2-0 🇪🇸 Real Madrid 52’ Mac Allister 77’ Gakpo 𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄: #UCL 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Aston Villa 0-0 Juventus 🇮🇹 🇮🇹…

Read More