
SIMBA YASHINDA KWA MKAPA KIMATAIFA, CAMARA KATIKA UBORA
KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids kimeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Bravos ya Angola kwenye mchezo wa hatua ya makundi, Kombe la Shirikisho Afrika. Ni bao la Jean Ahoua kiungo mshambuliaji wa Simba limepachikwa dakika ya 27 kwa mkwaju wa penalti akitumia mguu wake wa kulia akiwa ndani ya…