
SIMBA YAZITAKA POINTI TATU KIMATAIFA
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa unatambua ugumu uliopo kwenye mchezo wao dhidi ya Bravos ya Angola ila mpango mkubwa ni kupata pointi tatu Uwanja wa Mkapa. Ni Novemba 27 2024 mchezo huo unatarajiwa kuchezwa ikiwa ni hatua ya makundi. Simba ipo chini ya Kocha Mkuu, Fadlu Davids aliyetoka kuvuna pointi tatu kwenye mchezo wa…