FOX DIVAZ YA MARA YATWAA UBINGWA WA betPawa NBL KWA WANAWAKE
TIMU ya mpira wa kikapu ya Wanawake, Fox Divaz kutoka Mara, imetwaa ubingwa wa Tanzania betPawa NBL, baada ya kuibuka na ushindi dhidi ya BD Lioness ya Dar. Katika mchezo uliofanyika kwenye viwanja vya Chinangali, Dodoma, Fox Divaz waliibuka na ushindi wa pointi 67-54 dhidi ya BD Lioness na kutwaa ubingwa huo kwa mara ya…