Manchester City imepoteza mechi mfululizo kwenye michuano yote baada ya kukubali kichapo cha 2-1 dhidi ya Brighton katika dimba la AMEX.
FT: Brighton 2-1 Man City
⚽ 78’ Pedro
⚽ 83’ Pedro
⚽ 23’ Haaland
Kipigo hicho kinaibakisha Man City nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu England pointi 23 baada ya mechi 11 huku Brighton ikikwea mpaka nafasi ya nne pointi 19 baada ya mechi 11.
Man City kwenye mechi nne zilizopita:-
❌ 2-1 vs Spurs (EFL Cup)
❌ 2-1 vs Bournemouth (EPL)
❌ 4-1 vs Sporting CP (UEFA CL)
❌ 2-1 vs Brighton (EPL)
MSIMAMO #EPL 🏴
🥇 Liverpool – 25pts*
🥈 Man City – 23pts
🥉 Nottingham Forest – 19pts*
4️⃣ Brighton – 19pts
NB: Wenye * hawajacheza mechi zao za raundi ya 11.