100 Super Icy Sloti Kukupa Mihelaa

Sloti ya 100 Super Icy ni moja ya Sloti ambazo zinapatikana kwa mabingwa wa michezo kubashiri kampuni ya Meridianbet ambayo kwa kiwango kikubwa imekua ikitoa washindi wa miheaa, Cheza leo Sloti hii leo umeweza kushinda kitita kizito. 100 Super Icy ni mchezo mpya wa sloti wenye kusisimua kutoka kwa watengenezaji wa michezo ya kasino ya…

Read More

KITAWAKA EPL, LALIGA JUMAMOSI YA LEO

Je unajua kuwa ligi pendwa leo kuna mechi za uhakika?, mechi za kukupatia maokoto ya maana. Yaani namanisha kule EPL, LALIGA, SERIE A na kwingineko ni moto mkali sana. Beti sasa hapa. Mapema kabisa leo hii LALIGA kuna mechi kali bingwa mtetezi  Real Madrid ambaye wikendi iliyopita hakucheza, leo hii atamenyana dhidi ya CA Osasuna…

Read More

SIMBA ISHU YA PACOME IPO NAMNA HII

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa ikiwa wataridhishwa na kiwango cha nyota wa Yanga, Pacome Zouzoua utahangaika naye ili kupata saini yake. Nyota huyo mkataba wake unatarajiwa kugota mwisho mwishoni mwa msimu wa 2024/25 ambapo bado hajaongeza kandarasi nyingine  huku mazungumzo yakitajwa kuendelea. Ahmed Ally Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amesema wanatambua…

Read More

YANGA: HATUKUWA NA MCHEZO MZURI MBELE YA TABORA UNITED

ALI Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa hawakuwa na mchezo mzuri tangu dakika ya kwanza mbele ya Tabora United hivyo wameyapokea matokeo kinyonge wanaamini watarejea kwenye ubora. Ikumbukwe kwamba Novemba 7 2024, Yanga ilipoteza mchezo wake wa pili kwenye ligi baada ya kushuhudia ubao wa Uwanja wa Azam Complex ukisoma Yanga 1-3 Tabora United….

Read More