
SABABU MECHI YA SIMBA V JKT KUTOCHEZWA
OFISA Habari wa Bodi ya Ligi Tanzania, Karimu Boimanda amebainisha kuwa wamepokea taarifa kutoka uongozi wa JKT Tanzania kuhusu kupata ajali na maombi ya mechi kuahirishwa ambapo mchezo wao wa ligi dhidi ya Simba uliotarajiwa kuchezwa Oktoba 29 2024 umeahirishwa. Boimanda amesema: “Mara nyingi huwa ninakuwepo hapa pamoja na wachezaji, manahodha kwenye eneo hili, imekuwa…