
YANGA HAO NAMBA MOJA KWENYE MSIMAMO
PACOME Zouzoua anefunga bao pekee la ushindi mbele ya Singida Black Stars dakika ya 67 kwa shuti kali la mguu wa kushoto akiwa nje kidogo ya 18. Sasa Yanga inakuwa namba moja baada ya kucheza mechi 8 mfululizo bila kufungwa ikishinda zote mazima ndani ya uwanja na pointi 24. Singida Black Stars inashushwa kutoka namba…