
FOUNTAIN GATE JIONI YAWABANA MASHUJAA, KIHIMBWA USELA WA KIZAMANI
NGOMA ilikuwa ngumu katika mchezo wa Ligi Kuu Bara, ubao wa Tanzanite Kwaraa Babati umesoma Fountain Gate 2-2 Mashujaa ikiwa ni come back ya kibabe jioni kabisa ambapo Fountain Gate waliwabana Mashujaa waliokuwa kwenye wakati mzuri kusepa na pointi tatu za ugenini. Ni Mashujaa walitawala mchezo mwanzo mwisho ugenini na kupata bao la kuongoza dakika…