Raphinha amefunga hat-trick huku Robert Lewandowski akifunga bao lake la 97 kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya wakati Bayern Munich ikipokea kichapo cha 4-1 dhidi ya Barcelona katika dimba la Olímpic Lluís Companys.
FT: Barcelona 🇪🇸 4-1🇩🇪 Bayern Munich
⚽ 1’ Raphinha
⚽ 36’ Lewandowski
⚽ 45’ Raphinha
⚽ 18’ Kane
⚽ 56’ Raphinha
𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄: USIKU WA ULAYA
🏴 Man City 5-0 Sparta Prague 🇨🇿
🇪🇸 Atl. Madrid 1-3 Lille 🇫🇷
🇫🇷 Brest 1-1 Bayer Leverkusen 🇩🇪
🇵🇹 Benfica 1-3 Feyenoord 🇳🇱
🇩🇪 RB Leipzig 0-2 Liverpool 🏴
🇦🇹 Salzburg 0-2 Dinamo Zagreb 🇭🇷
🇨🇭 Young boys 0-1 Inter Milan
🇮🇹 Atalanta 0-0 Celtic 🏴