
KIBU DENNIS AMEANZA BALAA, ATAFUTWE MWINGINE
KIBU Dennis kiungo mshambuliaji wa Simba amejihakikishia nafasi kikosi cha kwanza chini ya Kocha Mkuu, Fadlu Davids ambapo kwenye mechi mbili mfululizo alianza kikosi cha kwanza. Katika Kariakoo Dabi, Kibu hakukomba dakika 90 lakini aliingia kwenye orodha ya nyota waliochezewa faulo zaidi ya tano ndani ya uwanja na mojawapo alisababisha kadi ya njano kwa Dickson…