
YANGA WAWATULIZA JKT TANZANIA
MCHORA ramani wa Yanga, Kocha Mkuu Miguel Gamondi amekiongoza kikosi hicho kusepa na pointi tatu za wajeda JKT Tanzania kwa ushindi wa mabao 2-0. Mabao yamefungwa na Pacome dakika ya 23 na Clatous Chama dakika ya 43 kwa pigo la faulo akitumia mguu wa kulia akiwa nje ya 18. Katika mchezo huo JKT Tanzania nyota…