
TIRA YAJA NA SULUHISHO HILI KUHUSU MALAMIKO YA WATEJA
OKOKA Mgavilenzi, Meneja Utekelezaji Sheria na kushughulikia malalamiko, Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tazania, (TIRA) amesema kuwa wateja wanaopata matatizo kwenye soko la bima wanachotakiwa kufanya ni kufika kwenye mamlaka na watashughulikia haraka. Mgavilenzi amesema kuwa wametoea elimu kwa Tanzania Insurance Brokers, (TIBA) kwa lengo la kuongeza ufanisi na weledi sokoni kwenye kutoa huduma kwa…