>

TAIFA STARS KAMILI GADO KUIVAA ETHIOPIA

BENCHI la ufundi la timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars limeweka wazi kuwa maandalizi kuelekea mchezo dhidi ya timu ya taifa ya Ethiopia yapo vizuri kwa kila mchezaji kuwa tayari kuipambania jezi ya Tanzania. Ni Septemba 4 2024 Taifa Stars inatarajiwa kushuka Uwanja wa Mkapa kwa ajili ya mchezo huo wa kuwania kufuzu AFCON…

Read More

TATU ZAIPA BAO SIMBA NA TATU ZAIPONZA

MWENDO wa pasi tatu ilikuwa Uwanja wa KMC, Complex kwa Simba na Al Hilal kufunga bao mojamoja katika mchezo huo wa kimataifa wa kirafiki ambapo ni pasi tatu ziliipa bao la kuongoza na pasi tatu zikaiponza Simba kwenye eneo la ulinzi ndani ya dakika 90. Ni Simba walianza kupachika bao la kuongoza dakika ya 25…

Read More

BEKI WA ZAMANI EPL, SOL BAMBA AFARIKI

Beki wa zamani wa Leicester City, Leeds United na Cardiff City, Sol Bamba ambaye amepoteza maisha Agosti 31, 2024 akiwa na umri wa miaka 39. Bamba raia wa Ivory Coast ambaye alikuwa kocha wa kocha wa klabu ya Adanaspor inayoshiriki Ligi Kuu ya TFF Nchini Uturuki amefariki baada ya kuugua ghafla. Taarifa ya klabu hiyo…

Read More