
SIMBA:KAZI TUTAIMALIZA UWANJA WA MKAPA KIMATAIFA
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa kazi kubwa kwenye anga la kimataifa itakwenda kuamuliwa Dar, Uwanja wa Mkapa kwenye mchezo wa marudio dhidi ya Al Ahli Tripoli ya Libya. Ni Septemba 15 2024 baada ya dakika 90 kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika ubao ulisoma Al Ahli Tripoli 0-0 Simba hivyo ndani ya dakika…