
SIMBA YATOSHANA NGUVU NA WAARABU KIMATAIFA
KAMPENI ya Simba kusaka tiketi ya kutinga hatua ya makundi imeanza kwa kukutana na kisiki cha mpingo ugenini mbele ya Al Ahli Tripoli ya Libya. Baada ya dakika 90 ubao umesoma Al Ahli Tripoli 0-0 Simba hivyo dakika 90 za mchezo wakitoshana nguvu katika mchezo uliokuwa na ushindani mkubwa. Mashabiki wa Al Ahli Tripoli walikuwa…