YANGA KAZINI KIMATAIFA LIGI YA MABINGWA AFRIKA
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye anga la kimataifa Yanga kesho Septemba 14 2024 wanakibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo dhidi ya CBE SA ya Ethiopia. Septemba 12 2024 msafara wa Yanga uliwasili salama nchini Ethiopia kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya mchezo huo ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kwa timu zote mbili. Miguel Gamondi,…