>

MKONGWE ASIYE NA SHAKA JIDE AHESHIMISHWA

SUGU amesema kuwa kuelekea kwenye Bongo Flava Honors ni zamu ya Jide kupanda jukwaani akiwa ni mkongwe wa kwanza wa kike kuheshimishwa kwenye jukwaa hilo Oktoba 25 2024 Ukumbi wa Warehouse, Masaki, Dar ambapo amesema kuwa ni msanii mkubwa sana sio Tanzania bali Afrika na Dunia kutokana na heshima aliyonayo anaamini watapiga nyimbo nyingi na kapu litakuwepo.