>

CHUKUA MAOKOTO YA KUTOSHA KUPITIA MERIDIANBET LEO

Ukisikia ile siku ya wewe kujinyakulia maokoto ya kutosha basi ni leo Jumamosi ambapo itapigwa michezo mbalimbali mikali barani ulaya, Huku fursa ikibaki kwako wewe kuweka jamvi lako na kusubiria kitita.   Uefa Nations League imekuja na hatari yake kwani Meridianbet wamemwaga Odds za kutosha isivyo kawaida katika michezo ambayo inakwenda kupigwa leo, Hivo ni…

Read More

KARIAKOO DABI INAFUKUTA HUKO NA MZIZIMA DABI

MSIMU wa 2024/25 ushindani wake unatarajiwa kuwa mkubwa kutokana na kila timu kujipanga kupata matokeo chanya kwenye mechi za ushindani ambapo kwa sasa ligi imesimama kwa muda kutokana na ratiba ya FIFA. Wakati yote yakiendelea kuna fukuto ambalo lipo ikiwa ni kuelekea mechi kubwa Kariakoo Dabi na Mzizima Dabi ambazo zinatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa…

Read More

MKONGWE ASIYE NA SHAKA JIDE AHESHIMISHWA

SUGU amesema kuwa kuelekea kwenye Bongo Flava Honors ni zamu ya Jide kupanda jukwaani akiwa ni mkongwe wa kwanza wa kike kuheshimishwa kwenye jukwaa hilo Oktoba 25 2024 Ukumbi wa Warehouse, Masaki, Dar ambapo amesema kuwa ni msanii mkubwa sana sio Tanzania bali Afrika na Dunia kutokana na heshima aliyonayo anaamini watapiga nyimbo nyingi na…

Read More

KOCHA SIMBA: TUNA KAZI KUBWA KUFANYA KUWA IMARA

FADLU Davids, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kuna kazi kubwa ya kufanya ili kuwa imara kwenye mechi za ushindani ambazo watacheza ndani ya uwanja. Fadlu mkononi ana tuzo ya kocha bora Agosti 2024 baada ya kuingoza Simba kwenye mechi mbili za ligi ndani ya dakika 180, wakikomba ushindi kwenye mechi zote huku safu ya…

Read More