
VITAL’O FC YA BURUNDI DHIDI YA YANGA KUPIGWA KATIKA UWANJA WA AZAM COMPLEX
Kwa mjibu wa Msemaji wa timu ya Vital’O FC ya Burundi, Arsene Bucuti amefahamisha kuwa mechi ya awali ya Klabu bingwa ya Afrika kati ya timu hiyo na Yanga SC itapigwa katika Uwanja wa Azam Complex majira ya saa kumi kamili alasiri wiki ijayo. Vital’O FC ambayo ipo jijini Mwanza katika mechi ya kirafiki dhidi…