ATEBA AMEANZA KAZI NA ZALI, MANULA MOTO
MSHAMBULIAJI mpya wa Simba, Leonal Ateba ameanza kazi na zali la kufunga bao moja kwenye mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya Al Hilal ya Sudan. Ateba alikosekana kwenye mechi zilizopita kwa kuwa alikuwa hajapata vibali vya kazi kwa mujibu wa Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba, Ahmed Ally rasmi Agosti 31 alipata…