TAIFA STARS KAZI IMEANZA

KAZI imeanza kwa wachezaji wa timu ya taifa ya Tanzania,Taifa Stars kwa ajili ya maandalizi ya michezo miwili ya kujiandaa kufuzu AFCON 2025. Taifa Stars, chini ya Kaimu Kocha Mkuu Hemed Morocco tayari wachezaji wameingia kambini baada ya kukamilisha majukumu yao kutoka kwenye timu ambazo zinashiriki Ligi Kuu Bara Tanzania. Agosti 29 2024 Kikosi cha…

Read More

GAMONDI ATAJA TATIZO LA YANGA LILIPO

MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kuwa tatizo kubwa ambalo lilikuwa kwenye mchezo wao wa kwanza ndani ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar ni kushindwa kutumia nafasi ambazo walizipata ndani ya uwanja. Ni Agosti 29 2024 ilikuwa Uwanja wa Kaitaba baada ya dakika 90 ulisoma Kagera Sugar 0-2 Yanga na mabao…

Read More

FOUNTAIN GATE YAWAPIGA MKWARA SIMBA

BAADA ya ushindi wa kwanza ndani ya Ligi Kuu Bara, Fountain Gate wameipiga mkwara timu iliyowafunga katika mchezo wa kwanza ambayo ni Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids. Agosti 29 baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Majaliwa ulisoma Namungo 0-2 Fountain Gate huku Namungo wakikosa penalti dakika ya 25 kwenye mchezo huo…

Read More