
SABABU YA SAMATTA KUTOITWA STARS YATAJWA, JOB AJUMUISHWA
KIKOSI cha timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars kitaingia kambini Agosti 28 2024 ambapo kutakuwa na mechi mbili kujiandaa na michezo ya kufuzu AFCON 2025 dhidi ya Ethiopia na Guinea itaayochezwa Septemba 4 na Septemba 14 2024. Kaimu Mkuu wa Taifa Stars, Hemed Suleiman Morocco amesema kuwa wachezaji wanaitwa kwenye timu kulingana na mahitaji…