NGAO YA JAMII: MAKOCHA WA YANGA NA SIMBA WAFUNGUKA UGUMU WA MCHEZO WA NUSU FAINALI KESHO- VIDEO
Makocha wa Yanga na Simba wameelezea ugumu wa mchezo wa nusu fainali ya Ngao ya Jamii kati ya timu hizo Agosti 8 wakitahadharisha kwamba klabu zao zitacheza kwa makini ili kupata ushindi. Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi na Fadlu Davids wa Simba wameeleza hayo Dar es Salaam leo wakati wakizungumza na waandishi wa habari…