
UTATU WA YANGA UNA BALAA ZITO
UTATU wa nyota wa Yanga una balaa zito kutokana na rekodi zao kuwa bora ndani ya msimu wa 2023/24 ikiwa ni Aziz Ki, Clatous Chama. Pacome wote watakuwa kwenye timu moja msimu wa 2024/25.
UTATU wa nyota wa Yanga una balaa zito kutokana na rekodi zao kuwa bora ndani ya msimu wa 2023/24 ikiwa ni Aziz Ki, Clatous Chama. Pacome wote watakuwa kwenye timu moja msimu wa 2024/25.
MPANGO mkubwa wa Simba kwa sasa ni kuendelea kuwa bora kwa kuboresha mazingira ya wachezaji ikiwa ni pamoja na sehemu ya kufanyia mazoezi. Julai 14 2024 Rais na Mwenyekiti wa Bodi ya Simba, Mohammed Dewji alikutana na kufanya mazungumzo na Simba Executive Network (SEN). SEN ni mtandao wa mashabiki wa Simba ambao huchangia ada ya…
USAJILI wa Mwamba Kelvin Kijili ndani ya Simba kwa ajili ya msimu wa 2024/25 umechambuliwa na mchambuzi Jemedar. Simba kwa sasa ipo Misri kwa maandalizi kuelekea msimu wa 2024/25.
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho Afrika, Simba wapo kamili gado kwa ajili ya msimu mpya wa 2024/25 unaotarajiwa kuanza kati ya Agosti. Ipo wazi kuwa msimu wa 2024/25 Simba iligotea nafasi ya tatu kwenye msimamo huku nafasi ya pili ikiwa mikononi mwa Azam FC inayonolewa na Kocha Mkuu, Yusuph Dabo. Kwa sasa Simba…
AISHI Manula kipa wa mpira bado ana mkataba na Simba unaotarajiwa kugota mwisho 2025 lakini hayupo kambini Misri inatajwa kuwa huenda akatolewa kwa mkopo kupata changamoto mpya msimu wa 2024/25.
MWAMBA Fadlu Davids Kocha Mkuu wa Simba ana kibarua cha kusuka upya kikosi hicho kuelekea msimu wa 2024/25 ambao unatarajiwa kuwa na ushindani kitaifa na kimataifa. Simba kwenye Kombe la Shirikisho Afrika itasubiri mshindi wa mchezo kati ya Uhamisho dhidi ya Libya kwa kuwa haitaanzia hatua ya awali. Mbali na Simba kupeperusha bendera ya Tanzania…
MWAMBA wa kazi Duke Abuya raia wa Kenya ambaye ni kiungo aliyekuwa ndani ya Singida Black Stars atakuwa kwenye anga la kimataifa na uzi wa kijani na njano katika kikosi cha Yanga. Yanga chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi inafanya maboresho makubwa kuelekea msimu mpya ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kitaifa na kimataifa. Abuya…
WATOTO wa Jangwani, Yanga hawana jambo dogo ambapo inatajwa kuwa wapo kwenye hesabu za kumchomoa mwamba mwingine kutoka unyamani kwa ajili ya kuwa naye ndani ya kikosi hicho kuelekea msimu wa 2024/25 unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Tayari wanaye Clatous Chama ambaye ni kiungo mshambuliaji aliibuka hapo bure baada ya mkataba wake kugota mwisho.
WAKALI wa kazi ndani ya uwanja viungo wenye ubora mkubwa uwanjani Aziz Ki, Pacome na Clatous Chama wote watakuwa kwenye chungu kimoja msimu wa 2024/25 unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kwa kila timu kupambania kombe.
MABOSI wa Singida Black Stars hawataki utani ambapo kwenye safu ya ushambuliaji wamemuongeza mtambo wa mabao Joseph Guede ambaye msimu uliopita wa 2023/24 alikuwa ndani ya Yanga. Utambulisho wake ndani ya Singida Black Stars utaongeza kitu kwenye eneo la ushambuliaji ukizingatia kwamba msimu mpya wa 2024/25 unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Ikumbukwe kwamba Guede raia…
KAZI imeanza kwenye anga la kimataifa ambapo wawakilishi wa Tanzania katika Ligi ya Mabingwa Afrika Yanga na Azam FC watatambua nani atakuwa nani kwenye kusaka ushindi ndani ya dakika 90. Ni kwenye droo ya CAF leo Julai 11 2024 nchini Misri kuna hatihati Yanga ikakutana na Azam FC ama JKU kwenye hatua ya awali kwa…
UONGOZI wa Yanga umebainisha kuwa una timu bora kwa sasa kutokana na usajili bora waliofanya kwa wachezaji wazuri na kuhakikisha wachezaji wenye uwezo wapo ndani ya timu. Ipo wazi kuwa Yanga msimu wa 2023/24 walitwaa taji la Ligi Kuu Bara, CRDB Federation Cup na iligotea hatua ya robo fainali kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika. Ali…
KUELEKEA msimu wa 2024/25 wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa tayari benchi la ufundi limewasili kambini kuendelea na maandalizi. Ipo wazi kuwa kwa sasa timu zote Bongo zipo kwenye maandalizi kuelekea msimu mpya unaosubiriwa kwa shauku kubwa, Yanga ambao ni mabingwa watetezi na Azam FC hizi zipo Bongo huku Coastal Union ikiwa…
MTAMBO wa mabao ndani ya uwanja John Bocco bado yupo sana uwanjani ambapo kwa msimu wa 2024/25 atakuwa ndani ya kikosi cha JKT Tanzania. Ipo wazi kwamba Bocco ni mshambuliaji bora wa muda wote ndani ya Bongo akiwa amefunga zaidi ya mabao 100 kwenye ligi alianza kucheka na nyavu akiwa na Azam FC, Simba na…
MWAMBA Clatous Chama yupo ndani ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi ambapo ameanza kazi huko kwa maandalizi ya msimu wa 2024/25.
KIPA wa mpira Mohammed Kamara anatarajia kuwasili nchini leo Julai 10 2024 kwa ajili ya kukamilisha dili la kujiunga na Klabu ya Singida Black Stars ambayo inashiriki Ligi Kuu Bara. Mbali na kushiriki Ligi Kuu Bara Singida inashiriki mashindano ya Kagame na Julai 9 2024 ilikuwa uwanjani kusaka ushindi kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Azam…
HAWANA jambo dogo Yanga chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi ambapo wameendelea kutambulisha nyota wapya wa kazi kuelekea msimu wa 2024/25. Ni Aziz Andambwile aliyekuwa ndani ya Singida Fountain Gate ni mali ya Yanga kwa sasa tayari kwa changamoto mpya kuelekea msimu mpya.